wakuu habari zenu....kuna Rafiki wa kike wa rafiki yangu amepata tatizo la kubleed kwa wiki mbili mfululizo....nikamuhoji rafik yangu imekuaje akapata tatizo hilo akasema kua alimpa dawa ya kuzuia mimba aina ya P2, sasa ushauri wenu kwake afanye nin? asante nawasilisha!