Msaada: Anadai mtoto sio wangu ila tunafanana

Joined
Mar 20, 2017
Posts
21
Reaction score
27
Jamani mi naomba nieleweshwe kwa wale watu wa biology.

Kuna mdada aliekuwa mpenzi wangu kashajifungua mtoto ana kama miaka miwili hivi na sio siri yule mtoto anafanana na mimi aslimia mia ila mama yake anasemà sio mtoto wangu ila anakili ananipenda sana na anatamani ningezaa nae hiv ni ukweli huyo mtoto sio wangu au kaninyima tu maana nicopy yangu.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akikwambia mtt si wako unataka nn tena?
 
Kuna dada alikuwa issue kama ya mleta mada alimwambia baby father 'mimi ndiye mtembeaji ninafahamu ni shamba gani nilichomwa na mwiba'
 
Mwanamke akisema huyu sio mtoto wako chapa lapa, huo ndo ukweli,mambo yakufanana kuna watu wanafanana sana na watu wengine but hawana hata chembe za vinasaba vya undugu

Narudi kijijini
 
Mwanamke akisema huyu sio mtoto wako chapa lapa, huo ndo ukweli,mambo yakufanana kuna watu wanafanana sana na watu wengine but hawana hata chembe za vinasaba vya undugu

Narudi kijijini
Hapana sio kweli ,,, mwanamke mwingine atakuambia ivo kwasababu kuna kitu ulichomtendea ,,either ulikataa mimba ,,sasa ndo unajileta ,,au hukumjali kabisaa ,,au ulikua una wanawake wengi .

Mwanamke nikiumbe Royal sana yaan unavomuishi ndivo atakavoishi ... Hawa watu wanauchungu sana na huwa ngumu mno kuuza dam yamtu unless umemfanyia mambo hayo juu nilotaja..


Tuseme Kwa kesi hii ya mkuu ,, either kweli mtoto niwake ila mschana for her own purpose ameamua kumzengua ( ndo maana haishi kusema nataman ningezaa naww ).

Lkn pia ikawa kweli mtoto sio wako mkuu ,,ila alichepuka kidogo kumbe siku kachepuka ndio yenyewe , tatizo iyo siku alochepuka ,mkuu ulikua umemnunia sana wiki nzima anakubembeleza matokeo yako kakatokea kashikaji within 2 days tayar ( saa nyingine wanawake akili zenu mnazijua wenyewe ).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…