Duuh! Hizi akili za nchi gani aisee?Hebu jaribu kufululiza mgegedo utoe hizo mbegu za zamani ili mpya zipate nafasi
bbadePoleni kwa majukumu wakuu
Ninasumbulilwa na korodani ya upande wakulia huwa inaniuma hata kwa kuishika najisikia maumivu
Nilipokuwa mdogo ilivimba nikapewa dawa za hospital ikarudi haliyake yakawaida
MSAADA ANAYEJUA DAWA YA HILOTATIZO.
Anaombaje dawa, hajajua tatizo....
Daah ila Jf samtymz ina majibu ya kukera sana.Hebu jaribu kufululiza mgegedo utoe hizo mbegu za zamani ili mpya zipate nafasi
Kweli kabisa nduguDaah ila Jf samtymz ina majibu ya kukera sana.
Akili za Jukwaa la wakubwa hiziHebu jaribu kufululiza mgegedo utoe hizo mbegu za zamani ili mpya zipate nafasi