mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
Wakuu anae jua dawa ya meno ya ALOE VERA AirSun inapatikana wapi anijuze.
DONDOO:
Toka mfungo wa Ramadhani ulipoingia, nielienda kujumuhika na familia yangu kijijini japo sikuwa nimefunga.
Kwenye geto la dogo nilikuta kuna hiyo dawa ya meno(aloe vera airsun), ndio nimeitumia kwa kipindi chote nilipokuwa uko kijijini.
Wakati ninaondoka nilinukuu jina la hii dawa kwa maana kwamba nikifika town(kwangu) niinunue Coz nimetokea kuipenda kinoma.
Sasa toka saa 12 jioni hadi muda huu, nimezunguka kwenye supermarket na maduka ya vipodozi lakini hawana na wengine hata hawaijui kabisa.
Nimejaribu kuongea na dogo, nae anadai alinunua kwa mchuuzi aliyekuwa akitembeza mtaani.
Sijui nifanye nini na sioni mbadala wa hiyo dawa. Sijawai tumia dawa ya meno kama hii.
Plz msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app