Jaribu kumcheki huyu 0716366793 sina uhakika kama bado wako mitaa hiyo.Nina emergency.
Naombeni no.za wakili wakujitegemea maeneo ya gongolamboto dar au nielekezeni ofisi zao zilipo kwa maeneo haya
Dah! Sawa Sawa, Ila kama ni ishu ya kusaidiwa kisheria and haina uharaka kwa Leo mcheki huyo jamaa for proper legal services and advice. Nilifanya nae kazi zaman he's good and very humble man.Shukran.nimemcheki amesema walihama muda