Msaada: Anakawia sana kupata hedhi na ameanza kula mkaa

masnai

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
63
Reaction score
61
Habari wanajamvi,jaman naombeni msaada wenu nina mdogo wangu ana miaka 24 miaka ya nyuma alikuwa akipata siku zake kama kawaida ilipofika mwaka jana mwezi wa 7 siku zikaanza kwenda hovyo akawa anapata kila baada ya siku 45 wakati mwanzoni alikuwa anapata baada ya siku 28 hadi 32 ilipofika mwez wa 9 ikakata kabisa hadi mwez wa 12 ndio akapata sasa tangu apate mwez wa 12 ikaja kutoka tena mwez wa 2 mwaka huu tena kidoa tu mpaka leo hajapata tena.

Anadai hana panapo muuma wala hatumii njia za uzazi na amepima hana mimba lakin tatzo jingine alianza kula mkaa mwaka jana january sasa hatuelewi tatzo ni nini na anaendelea mpaka leo japo amepunguza maana amashindwa kuacha. tunaomba mtusaidie.

Asanteni
 
Ujue vitu km ivyo sio vyakupenda sana kupewa ushauli wa maneno humu,chamsingi me nnachokiona hapo angeenda tu kwenye vipimo vya magonjwa ya akina mama atapata ufumbuzi wa tatzo lake,but asisubili mpk limletee madhara.
 
asante
 
Kula mkaa ni dalili mojawapo ya uwepo wa mimba.
 
Hana matatizo ya kijamii kama labda kuachana na mpenz wake, kufiwa navinginevyo kwa sababu msongo wa mawazo pia unaweza kusababisha siku kushift
 
Hana msongo wa mawazo mambo yake yanaenda vzr tu
 
Ni kweli alianza tangu mwaka jana.
Ndg Masnai...., Bado haingii akilini kweli mtu ala mkaa.... kuna miti mingine ni sumu hvyo hata mkaa wake utakuwa sumu!! Kwanza asimamishe kula mkaa..ndipo tumsaidie kwa mengine...
 
Jana usiku aliniambia ameamua kuacha kabisa kula mkaa huenda ndio unamletea matatzo kwahiyo leo tangu kumekucha hajala ndio tunaangalia tuone.
 
Hpo sasa.... aache kbs na atunze ratiba ya mloo bora.... atakuwa OK!!
Mubarikiwe wote....
 
pia achekiwe kama anaupungufu wa madini ya chuma na zinc labda ndio sababu ya kula mkaa.
pia kama hana mtoto na anataka kuwa naye hebu afanye mapema maana dalili za Menopause.
Mungu amsaidie
 
Kwahiyo anaweza kukosa mtoto?maana hana hata mmoja.
 
Umenichosha mwili na roho heee mungu wangu sijui itakuwaje jaman
 
Kwahiyo anaweza kukosa mtoto?maana hana hata mmoja.

mkuu siunaona mwenyewe range ya menstration period inavyozidi kuongezeka? lazima kuna kitu hakiko sawa, kukosa hedhi halafu hana mimba ni dalili mbaya sana.
 
Ujue vitu km ivyo sio vyakupenda sana kupewa ushauli wa maneno humu,chamsingi me nnachokiona hapo angeenda tu kwenye vipimo vya magonjwa ya akina mama atapata ufumbuzi wa tatzo lake,but asisubili mpk limletee madhara.

Kweli mkuu wengi humu sie washereheshaji tu...hosp inamhusu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…