Jamani siku mbili sasa Apple yangu inasuasua kukaa kwenye mikono yangu vyema ili kushinda JF masaa 24 kama nilivyozoea. Tatizo vivulana havina ujuzi wa kutufanya dada zao tutulie na ku~enjoy maisha.
BUT NILIWAMISS SANA WANA JF
I missing you
min -me raraa reree cocastic mshamba_hachekwi Mshana Jr na wengine wengi tupieni majina yenu hapa niwatag