Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Acha woga wewe, na wewe ikatikie sana , au mpore mtu bwanaa ank,ukisema unakaa hivyo kutegemea utapata wako wa kwenye box utachelewa na utazeeka kama muwa na utamu wake,

Kama vipi ni pm tusongeshe mambo
 
muda wote uliotumia kuandika hapa tungeshaweka motto mmoja tayari tumboni.unaongea sana
 
Story za watoto hizo, shangazi yenu nimezeeka hazinihusu.

Hivi kweli katika hilo haujaona ushauri?
Kwak hapana

Watu tunaenda na Muda Shangazi tic to fibroid zinaongezekaaa we unaleta masihara

Basi sawa tu Shangazi njoo usome huku ukawaadithie wajukuu wakihitaji msaada STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…