Msaada: Anataka kusomea Kiswahili aje kuwa Mwana KIswahili

Msaada: Anataka kusomea Kiswahili aje kuwa Mwana KIswahili

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
154
Habari la leo wana JF wote..Kuna huyu ndugu yangu yupo form six HGK SHULE FLAN YA privtae Moshi anataka kuja kusomea kiswahili chuo awe cjui ndio wanaita wana kiswahili ... Hivi hii ikoje jamani maana hata sijui nimshauri vipi anaye jua anieleze tafadhali na kama ipo vzuri basi nimshauri na best yangu pia akasome ...
ASANTENI WOTE!..
 
Tanzania tunazarau Kiswahili wakati Kenya inaongoza kuzalisha na kupeleka Nje wataalamu wa Kiswahili
 
Ana akili coz mlimani ipo course ya kiswahili pia mshauri aende uwalimu.
 
Ualimu wa level gani mkuu ?? Chuo au??
 
Back
Top Bottom