Habari la leo wana JF wote..Kuna huyu ndugu yangu yupo form six HGK SHULE FLAN YA privtae Moshi anataka kuja kusomea kiswahili chuo awe cjui ndio wanaita wana kiswahili ... Hivi hii ikoje jamani maana hata sijui nimshauri vipi anaye jua anieleze tafadhali na kama ipo vzuri basi nimshauri na best yangu pia akasome ...
ASANTENI WOTE!..