Robert edo
Member
- Mar 9, 2015
- 44
- 5
Nenda kapime hospitali huenda una maradhi ya zinaaAnatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi tatizo litakuwa ni nn.msaada Tafadhali.
Nenda kapime hospitali huenda una maradhi ya zinaa