nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
- Thread starter
-
- #21
aksante mkuuUTI haiwezi kusababisha mtu kuwashwa, huwa na maumivu chini ya kitovu kama ni savere, ikiendelea sana anaweza pata pelvic inflamatory diseases PID,kisha inapelekea mtu kuwa tasa, fungus ndo inatabia ya kuwasha, kwa hiyo huyo dada anafungal infection pia.
Atakuwa na huo UTI na maradhi ya Fangasi sehemu zake za siri mpeleke Hospitali atibiwe asipo pona kwa dawa za hospitali,nitafute mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za asili na atapona hayo maradhi yote mawili. Ukihitaji tiba toka kwangu . Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuMke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni,
Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na binti fulani hivi so nashindwa kuelewa itakua ni gonjwa la zinaa au itakua ni UTI hiyo hiyo.
Niambieni kitu wajuvi ili linitoke dukuduku maana mimi sijapima.
shukran, takutafutaAtakuwa na huo UTI na maradhi ya Fangasi sehemu zake za siri mpeleke Hospitali atibiwe asipo pona kwa dawa za hospitali,nitafute mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za asili na atapona hayo maradhi yote mawili. Ukihitaji tiba toka kwangu . Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu