msaada anayefahamu kama ipad inalipiwa kodi

Sisomeki

Senior Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
166
Reaction score
49
Habari wana jamvi nahitaji msaada, Kuna mtu anataka kunitumia iPad kwa njia ya EMS je TRA watanikata kodi? Maana najua kwamba computer hazina kodi vipi kuhusu hili?
 
..ingia kwenye mtandao wa TRA, wameorodhesha aina ya vitu vilivyoweka kwenye msamaha wa kodi.
 
Utalipia niliagiza mwaka jana nililipa 80,000/ sijui kwa sasa,kama upo Dar nenda posta mpya kitengo cha vifurushi(parcel) kutana na dada mmoja anaitwa Rehema atakupa full detail
 
asante Sana bro kwakweli msaada Wako Ni mkubwa Sana nakishukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…