Habari za leo wana bodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Habari za leo wana bodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Wanakuja chief nlitaka kucomment nkagundua nachotaka kuzungumzia ni hz institute of ..... Na so universities watakuja wadau hope utapata mwongozo mzuri wako wengi humu