Msaada anayefahamu secondary za bweni Iringa au Songea

Msaada anayefahamu secondary za bweni Iringa au Songea

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,323
Reaction score
1,608
Habari waungwana!

Nina kijana wangu wa kiume nataka nimpeleke secondary ya bweni. Ombi langu ni kwa ambaye anaifahamu shule mojawapo ya bweni inayofundisha vizuri au ameisikia kutoka kwa jamaa wa karibu.

Nahitaji iwe mkoa wa IRINGA au SONGEA. Na kama utakuwa na mawasiliano ya shule husika utakuwa umenisaidia sana. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom