mzee wa manzese
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 670
- 216
kuna hii body inaitwa kenya accountant and secretary national examination body,nina kijana wangu kamaliza chuo anataka kujiunga hii body kufanya mituhani ya certified securities and investment analysis(CSIA)swali langu je hii body inatambulika hapa kwetu Tanzania,na akiwa na hicho cheti ni sawa na CPA(T)
nawasilisha wadau
nawasilisha wadau