Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.