Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Inapatikana wapi mkuu mie nipo darTetimosol Soap
MadukaniInapatikana wapi mkuu mie nipo dar
Inapatikana pharmacyInapatikana wapi mkuu mie nipo dar
ShukranInapatikana pharmacy
PolesanaNdugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele uson na chunusi.
Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada.
Sabuni tafuta dove ila lotion subiria wengine watakuja kukuambia ila dove ni kigoma mwisho wa reliNdugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele usoni mabaka na chunusi.
Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada
Nipo dar naweza kuipata kwenye maduka ganiSabuni tafuta dove ila lotion subiria wengine watakuja kukuambia ila dove ni kigoma mwisho wa reli
Shukran sana malkia CarleenMkuu Travellerman wakati wanakushauri hayo mengine, naomba uanze tumia viazi mviringo (wengine huita viazi mbatata),
Chukua kiazi kimoja chenye ukubwa wa wastani, osha vyema, menya kisha kwangua (tumia kwangulio la karoti),
Kisha fanya kama unamasejia uso, rudia hivyo mpaka uone yale maji maji ya kiazi yamekwisha yamebaki yale makapi tu..!!
Acha usoni kwa masaa kuanzia mawili na kuendelea, kisha nawa uso wako vyema, uache bila kupaka chochote kwanza, hii itafaa zaidi ikiwa inafanyika usiku..!!
Ukiamka asubuhi, utaona tofauti, rudia zoezi hili mara kwa mara, utaona matokeo ya haraka zaidi, kila la kheri..!!
Tafuta dove ya ile ya tango angalia kuna fake pia dove original box zake ni vile vidogo kwenye maduka ya cosmetics au supermarket zinapatikanana yaani utang'aa mpaka kila mtu atakushangaa utakuwa mwarabu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo dar naweza kuipata kwenye maduka gani
Njoo nkupe black soap kwa 10k tu ndani ya week na nusu leta majibuNdugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele usoni mabaka na chunusi.
Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada
Kuwa mwarabu tena mkuu sitaki kujichubua mkuuTafuta dove ya ile ya tango angalia kuna fake pia dove original box zake ni vile vidogo kwenye maduka ya cosmetics au supermarket zinapatikanana yaani utang'aa mpaka kila mtu atakushangaa utakuwa mwarabu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo wapi mkuuunataka utumie salicylic face wash na niacinamide face cream na vitamin c serum karibu nikuhudumie products zote ni Ph balance