Francis Johnson
Member
- Aug 8, 2015
- 23
- 8
Natumaini umu nitapata wahusika wenyewe au mtu anayejua gharama za kuprint gazeti Kama mfano ijumaa,kiu au Nipashe na mengineyo,naomba anijulishe pia na hizo kampuni zinazoprint
Asanteni
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumaini umu nitapata wahusika wenyewe au mtu anayejua gharama za kuprint gazeti Kama mfano ijumaa,kiu au Nipashe na mengineyo,naomba anijulishe pia na hizo kampuni zinazoprint
Asanteni
Kampuni ya mwananch wana print, na masmun stationary wanaprint pia bei ndo sijajua ukitakakufungua gazeti utupe nafas pia Nimesomea hyo fani.
Asante mkuu,kwenye hii fani umesomea uhandishi au graphics?
natumaini umu nitapata wahusika wenyewe au mtu anayejua gharama za kuprint gazeti kama mfano ijumaa,kiu au nipashe na mengineyo,naomba anijulishe pia na hizo kampuni zinazoprint
asanteni
Mm ni graphic designer naweza kukudizaini gazeti lako tukakusave na kukufanyia printing ngoja nizungumze na anayetoa quotation za bei zake kisha nitakwambia bei mkuu
ma
0789254898
nitashukuru sana
Unatoa nakala ngapi za gazeti lako
ekeni mambo wazi na sisi tujue gharama za kuprint gazeti moja bei gani. Maana hata mimi kwa mfano hiyo ni moja ya ndoto zangu. Ko mtasaidia pia wengine.Mm ni graphic designer naweza kukudizaini gazeti lako tukakusave na kukufanyia printing ngoja nizungumze na anayetoa quotation za bei zake kisha nitakwambia bei mkuu
ma
ekeni mambo wazi na sisi tujue gharama za kuprint gazeti moja bei gani. Maana hata mimi kwa mfano hiyo ni moja ya ndoto zangu. Ko mtasaidia pia wengine.
Ningependa pia unifahamishe gharama kwa upande wa vitabu kama unafaham
sijajua unataka uchapishiwe vitabu vya aina gani ? kuwa wazi kuhusu vitabu nitajua namna ya kukujibu
ingia pm kwa maelezo zaidi
Bado nakusubiri
ladyfurahia kuepuka mtu mwingine kuja kuuliza maswali hayihayo unaonaje muweke mambo hadharani badala ya kwenda PM.