Msaada: Anayejua gym maeneo ya Africana, Mbezi Beach

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya.

Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya.

Mimi naishi Mbezi Africana barabara ya kwend white Sands Hotel.
 
Ni mtaa no ngapi?
 
Back
Top Bottom