ALSTZ ni kinani? Wamenitumia sms hii hapa "This is to inform you that your order is confirmed, Code is 848837. We are delighted to have you as our customer" na sijajiunga na huduma yoyote! Anayewajua tafadhali msaada isije kuwa mtego.
Tuanzie hapa.
Wamekutumia kwa email au inbox kwa namba yako ya simu? Kama ni kwa namba ya simu vipi jina hilo lilijitokeza badala ya namba ngeni ya simu?