KIMARA BRIDGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 262
- 270
why don't you prove him wrong... wapi nursery yako ilipo? na kama ni mafinga , toa physical address kama wengine wananvyofanya na siyo kujibu kwa nyodo. Naomba uwasiliane na Lily Tony akupe tips za hii biasharaWewe Kama unahitaji Miche sema, sio kuongea mengine changamkia fursa. Unajua Mimi nimeanza kufuatilia zao la macadamia nuts tangu lini? Acha kuongea mengine yasio na staha. Wenzako wanachangamkia fursa wewe unvyo zidi kuongea pumba. Piga namba hiyo hapo juu upate maelezo sahihi.
Macadamia nuts zinastawi zaidi kwenye maeneo yenye muiinuko, mvua ya kutosha na kiwango kidogo cha joto. Wataalamu wanasema mikoa ambayo zao la migomba...
uko sahihi mkuu,Sakarani mission ndio wanazalisha na kukamua mafuta ya macadamia,kisha wanasafirisha nchi za nje.Tanzania wapi wanazalisha? Maana mzalishaji kwa sasa ni Sakarani mission na ndiye anaprocess na kwa Africa mashariki Kenya ndio wametutangulia na ndio maana varieties zinatumia majina yao kama Murang'a
Naomba kama kuna experience ya kulima hili zao maeneo ya pwani mlandizi maana nimepata ABC kuna mbegu tofauti zinamea maeneo tofauti na nataka kujua hekari moja inacost sh ngapi mpaka kuvuna kwanzia miche mpaka mavunoTanzania wapi wanazalisha? Maana mzalishaji kwa sasa ni Sakarani mission na ndiye anaprocess na kwa Africa mashariki Kenya ndio wametutangulia na ndio maana varieties zinatumia majina yao kama Murang'a
Maelezo yako yamenibariki na kunifungua juu ya zao Hilo! Pia huna vivu natamani ungenipa somo zaidiNdugu Matindi94,
Kujibu maswali yako napenda kukupa uzoefu kama ifuatavyo kwa sababu mimi pia ni mdau katika kilimo cha Macadamia.
Macadamia (au karanga mti kwa kiswahili) ni zao jamii ya nuts au karanga kama vile korosho...