OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu
Kichwa cha habari chajieleza,
1.kuna nyimbo ya justin timberland ameimba beat ni la kihindi , wimbo unaanza mdada wa kihindi akitokea kwenye kikapu (tenga) mwishoni alirudi kwenye kikapu pia kwenye huo wimbo kuna kama sauti za filimbi zinasikika kwa beat, kwenye huo wimbo kunajamaa anasauti nzito kama ya jarule.
2.Kuna wimbo ni wa chalanga ulikuwa ukitumika katika matangazo ya kipindi cha TIKISA kilichokuwa kikirushwa na TBC kikihusisha mashindano ya kudance...washiriki nakumbuka walikuwa ni mo-love, witness, boucha, chege na wengineo,
Wimbo unasikika kama "sisenyo sisenyo tatantanta komolo komolo tatantantaaa hayawehayaweee....." I stand to be collected.
Mwenye kujua anisaidie tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app