Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivihivi itakua ngumu kukusaidia. Labda ungesema dalili kukumba wakati upo mzima mpaka tumbo linapoanza kujaa?Jamani anayejua tiba ya tumbo kujaa gesi naomba anisaidi
Aisee najamba mnoo kila mara ndo nataka kujua namna ya kuacha... Nakosa raha nikiwa kwa watu wengiKujamba ndio tiba pekee
Asante..... Mafuta ya nyonyo nitayatoa wapi mkuu?Pole tumia kula kijiko kimoja cha mafuta ya nyonyo utumie mara moja tu lkn uwe mazngira ya nyumbani make utaharisha kidogo ,alafu baada ya hapo kama litaendelea kusumbua utarudia tena baada ya sku 3
Yanauzwa kwenye maduka ya kisuna ,na baadh ya pharmacy wanayo jitahid upate yale ya kienyejiAsante..... Mafuta ya nyonyo nitayatoa wapi mkuu?