Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Hii ulaji wake si wakutisha kutokana na uwepo wa VVT-I... engine ni Beams 4 cylinder..(3sge-D;VVT-i).... kwa engines nyingi za 3s.. hasa hizi N/A zinakula vizuri.. pia kwa 3sgte nazo zinakula vizuri.. so kwa wazee wa mbio ukipata 3sgte-vvt-i inaokoa wese sana na mbio unapata ....

ANGALIZO
kwa experiance yangu.......... 6cylinder na 4cylinder.. /// 4 cylinder inakunywa kuliko 6cylinder kwa upande wa Altezza... so gari kuwa 6cylinder or 4cylinder haimaanishi ulaji mwingi upo kwa 6cylinder.... pia ulaji wa mafuta hutegemea na UJAZO wa cylinder (CC) cubic centimeters
Kuna kitu watu wanachanganya hapa...Mkuu zile zenye engine ya yamaha ulaji wake wa mafuta ukoje?
Ahsante sana mkuu kwa ufanunuziKuna kitu watu wanachanganya hapa...
BEAMS ni injini iliyotengenezwa na yamaha..
labda unamaanisha YAMAHA kavu..
BEAMS ina maana au ni abbreviation ya (Breakthrough Engine with Advanced Mechanism System) kama sikosei, so mfano hiyo injini juu ni Yamaha 3sge BEAMS.. ambayo ni valve 16.. yenye top cam (DOHC)