Msaada: Android TV imekwama (stuck)

Buntungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
549
Reaction score
307
Wakuu habari,

Naomba msaada wenu, nina TV aina ya SOLSTAR 55" ambayo ni android. TV imeacha ku respond kwenye remote na hata kwa buttons za kawaida. Hapa ndipo iliyokwama, yaani hata kuizima na kuwasha inarudi hapo hapo. King'amuzi ninasoma bila shida.

Kwenye kona kuna alama nyekundu ambayo sielewi ina maana gani.

Natanguliza shukrani
 
Ni kwamba ukiunganishwa king'amuzi inasoma kama kawaida ila screen ndogo kama inavyoonekana
 
Ninahisi

Huenda kuna button moja imejiminya (hold) na kusababisha ku stack kwa command nyingine

Hebu jaribu kucheck kama kuna button kwenye TV imejibonyeza au kama vp ziponyeze uone kama zinabofyeka vizuri na kama hakuna iliyojishika ndani

Thank me then
 
Hyo alama ni ya ethernet. Inataka u connect ethernet cable kwaajili ya internet
 
Pia ungesoma Manual yako upate maelekezo ya jinsi ya kureset
 
Pole sana mkuu ila siku nyengine ukienda dukani upitege humu uulize kwanza. SOLSTAR waachie wauze rangi tu, luninga sio fani yao.

TV's ni PANASONIC, SONY, LG, SAMSUNG, TCL & HISENSE!!! Hutakaa upate hayo matatizo ya kustack.
 
Fungua remoty ya Tv huenda imeingiliwa maji safisha kisha rudishia.
 
Pole sana mkuu ila siku nyengine ukienda dukani upitege humu uulize kwanza. SOLSTAR waachie wauze rangi tu, luninga sio fani yao.

TV's ni PANASONIC, SONY, LG, SAMSUNG, TCL & HISENSE!!! Hutakaa upate hayo matatizo ya kustack.

Niko na Hisence hapa ni One Touch[emoji16]
 
Niko na Hisence hapa ni One Touch[emoji16]
Sony, TCL & Hisense wao wana Official Android TV! Haitakaa istack sababu imekuwa designed for TV.

Sasa zile brand za matopeni kina Mo Electro, Star-X, Soyi, Solstar, Aborder & Co. wao android yao ni kama ya simu ndio wameifixia kwenye kioo kikubwa tu. Hayo ma Stack Overflow hayakosekanagi sababu ya poor memory optimisation.
 

Nilishitukia mapema sana hizi Android Tv za kichina ni miyeyusho.
 
Ina connect wakati internet hakuna wala cable haijapachikwa? Solstar ni Tecno TV iliochangamka
Nadhani hujaelewa kabisa. Jamaa kauliza ile icon ni ya nini pale juu nikamjibu ni icon ya ethernet. Inaonesha kma imekuwa connected au la. Kwake hapo inaonesha haipo connected. Simple kma hvo, akiconnect ethernet cable itabadilika status na ku connect kwenye internet. Mimi nimeongelea hlo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…