Msaada: Android TV imekwama (stuck)

Basi sawa mkuu umeeleweka
 
TV zilizotengenezwa kwa mfumo wa An...mo-wa-Android-kama-ilivyo-smartphone.1763129/
 
Pole sana mkuu ila siku nyengine ukienda dukani upitege humu uulize kwanza. SOLSTAR waachie wauze rangi tu, luninga sio fani yao.

TV's ni PANASONIC, SONY, LG, SAMSUNG, TCL & HISENSE!!! Hutakaa upate hayo matatizo ya kustack.
Natambua hilo, lakini hujui mazingira ya upatikanaji wa hii TV. Hilo tuliache turudi kwenye mada
 
Ama inataka update?
 
Ni kwamba ukiunganishwa king'amuzi inasoma kama kawaida ila screen ndogo kama inavyoonekanaView attachment 1688288
Pia mkuu kuongezea kuna kina kinaitwa picture in picture mode ambayo ni mode ya kuonesha picha mbili kwa mpigo, kama somewhere umeiweka on ujue inakuwa ndogo kama inavyoonekana kwenye TV yako.

1. Hakikisha remote yako ni nzima chukua simu fungua camera halafu tumia remote yako elekezea kwenye camera Kisha bonyeza bonyeza button, kama kuna mwanga unatoka kwenye remote na unauona kwenye kioo cha simu basi remote ni nzima kama hakuna remote ina matatizo.

2. Kwenye TV jaribu ku disconnect kila kitu, Zima TV Kisha washa TV kama TV yenyewe uone kama itawaka kawaida.
 
Kumbe bora nilivyonunua TCL smart android inch 43 kwa 700000 kuna wana wakanicheka eti nimeuziwa fake bei harisi ni 850000 nikawambia siwaoneshi chimbo
 
Pole sana mkuu ila siku nyengine ukienda dukani upitege humu uulize kwanza. SOLSTAR waachie wauze rangi tu, luninga sio fani yao.

TV's ni PANASONIC, SONY, LG, SAMSUNG, TCL & HISENSE!!! Hutakaa upate hayo matatizo ya kustack.
Hata aborder tusichukue[emoji1787][emoji1787]
 
Nimesafiri kidogo. Kesho nitaleta mrejesho
 
Hata hizo za majina makubwa nazo zina stuck kama kawaida tu iwe ni Sony Lg au Samsung sema urahisi wa hizo ni kuwa unaweza kupata msaada haraka maana firmware zake zipo kwenye site zake una load tu usb flash kitu inarudi fresh sema hizo za kichina ni tabu hawana website mafile yake yapo 100 kidogo pili lazima ugungue ndani upate namba ya mainboard ndipo uanze mchakato wa kutafuta firmware zake na mara nyingi sio bure ni lazima utoe chochote
 
Asante sana mkuu, shida ilikuwa remote. Baada ya kurekebisha remote inafanya kazi
 
Asante mkuu. Kumbe bila remote inaweza kustuck na ndicho kilichotokea. Tayari nisharekebisha na inafanya kazi vema tu. Kuna jambo sijaelewa hapa, hii TV ona warrant ya miaka miwili, sijui kama hizo zinazoitwa top brand zina warranty ya miaka mingapi! Kwa ujinga wangu nilidhani hakuna brand mbovu itapewa miaka miwili warranty.
 
Nilinunua tv ya aborder Android yani ilikua nikiizima off inaandika betri low apo ndipo nilipoona tv ni brand wala cyo ukubwa wa screen [emoji342]
 
Nilinunua tv ya aborder Android yani ilikua nikiizima off inaandika betri low apo ndipo nilipoona tv ni brand wala cyo ukubwa wa screen [emoji342]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mchina anatuletea vitonga il anatukomoa.
 
Star x massa dubai ninayo mwaka wa tatu sasa na inawaka kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku none stop 24/7...mwanzo nilikuwa na lg og kabsa ikaanza kuzingua vimacho/vitaa nikaifyekelea mbali!!
Hii niliyo nayo mpaka huwa naplay game la hill racing,hadi jf huwa naingiamo humo kwa kutumia eshare kama mouse inshort inajitosheleza kuliko hzo brand kubwa msemazo
 
nia yako ni kukompea LG na Star-X , achaga ujinga basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…