Alison Mremi
Member
- Mar 30, 2011
- 21
- 4
Mkubwa kuna jamaa kanunua CD yake ya anti virus kaspersky 2010 na ina key zake! Je akishai2mia kwenye computer yake,je na mm ntaweza ku2mia CD hyo hyo na key zile zile ku-install kwenye computer yangu? Au itanibidi niwe na key nyingne? Na kma itanibidi niwe na key nyingne ntazipataje? Nisaidie coz mimi ni mgeni wa mambo haya!!....
Kilimasera.... Nakumbuka wakati jamaa huyo anafanya installation hyo ilifika sehemu akaingiza email address yake afu akai2ma ndo ikaendlea kufanya installation! Nkamuuliza mbona ume2ma hyo address? Akasema kuw alinunua Orijino CD hvyo ni lazima a-post hyo anwan ili wamiliki wa hyo anti virus wamjue mtumiaji wa anti virus hiyo! Niliikopi CD hyo Orijino kwenye CD yangu lakini nilipo-install wakani-request niingize key ila ckuziingiza zile key coz nilijua tayar zisha2mika! Kumbe zitakubali! Alaa! Je nkishafanikiw kuinstall kutakuw na haja ya ku-update au ndo ntakuw nshamaliza mchezo!
Ni anti virus yupi ni mzuri kuliko wote kwenye computer?
Kwel bana coz nakumbuka ilikuw inaleta mambo hayo hayo ya leseni! Nitajaribu ku2mia modem tofauti coz yeye ali2mia ya zain! Je niki2mia ya zantel itanibidi nichukue bundle la saizi gani ili isije kukata kabla haijamaliza ku update?