Comm Dev Expert
Member
- Oct 14, 2012
- 15
- 18
Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written)
Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona discussions nyingi humu zinakatisha tamaa kwamba maswali ya written utumishi huwa yanakuwa magumu.
Nahitaji kupata idea na kumtia moyo ili akajaribu bahati yake.
Shukrani sana