MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za leo wakuu

Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita
Na namna ya kuiset

Nawasilisha

Merry christmass
 
Sasa unataka nini toka kwetu? Maana teknolojia na taarifa zote unazo
 
"There are no stupid questions, only stupid answers,"

Jaribu kwennda App Store Search for caller name announcer utaona list soma reviews za wadau uchuje kutokana na matumizi yao
 
"There are no stupid questions, only stupid answers,"

Jaribu kwennda App Store Search for caller name announcer utaona list soma reviews za wadau uchuje kutokana na matumizi yao
asante nimeshapata
 
Si ni feature inayokuja kwa settings
Au simu yako ni wereva size ndogo haina ujanja huo??
 
Mwaka 2011 nilikuwa na simu aina ya Nokia E 55 Ilikuwa inauwezo wa kutaja jina nililosave ila majina ya kibantu ilikuwa shida kutamkwa
 
Back
Top Bottom