Msaada App Kukagua gari kama ina Madeni

Msaada App Kukagua gari kama ina Madeni

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Mada tajwa hapo juu yahusika,

Naomba kujua App utakayoweza kutumia Kujua gari km ina madeni ya Trafic na Bima, ikiwezekana kujua full umiliki pia.

Naomba Kuwasilisha,[emoji120]
 
Sina hakika kama ipo app ya aina hiyo ambayo imebeba yote hayo ila ukiingia tms inaonesha madeni ya Police kama gari inadaiwa.
Kujua kuhusu madeni ya bima sijui kwakweli,ila kuhusu kutambua umiliki najua hakuna namna utakayoweza kujua labda hadi uwaone mamlaka husika za kiserikali,TRA
 
[emoji120]
 
Tumia GePG Tanzania huduma nyingi za Taasisi za Serikali zinapatikana kwenye hiyo App kama, deni za maegesho ya magari(TARURA), madeni Ymyatokanayo na usalama barabarani, huduma za maji kwa baadhi ya mikoa nk. na pia Tiramis kwa ajili ya kuangalia bima ya gari
 
Back
Top Bottom