Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Habari wakuu!
Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Hbr wakuu!
Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii Ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Live football TV ingia play store download ufurahie
 
Mkuu kwa kutumia hiyo app ninaweza kuangalia mechi za simba CAF, ninamaanisha wanaonesha na mechi za simba CAF ?
Sina hakika.

Ila ukiingia utaona mechi zote wanazoonesha LIVE.
 
Back
Top Bottom