Ramuz_store
Member
- Feb 13, 2024
- 8
- 3
Habari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda wote inaandika EMERGENCY CALL ONLY. Baada yakumcheki jamaa mara ya pili hajanijibu hadi leo ni zaidi ya mwezi sasa.
