Ramuz_store
Member
- Feb 13, 2024
- 8
- 3
Yote hayo ya nn wakati kuna tecnoHabari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda wote inaandika EMERGENCY CALL ONLY. Baada yakumcheki jamaa mara ya pili hajanijibu hadi leo ni zaidi ya mwezi sasa.
🤓 Tecno wapo vizuri siku hiziYote hayo ya nn wakati kuna tecno
Hahahahahah 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hivi vituko Sasa!!Habari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda wote inaandika EMERGENCY CALL ONLY. Baada yakumcheki jamaa mara ya pili hajanijibu hadi leo ni zaidi ya mwezi sasa.
Aqous Iko poa ila hiyo model ni mbaya mnooSimu inaitwa AQUOS.😆😆.
Nyingine inaitwa Docomo.
Bora tecno
Ninayo mashine yake njoo na ofa yako, yangu imekufa kiooHabari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda wote inaandika EMERGENCY CALL ONLY. Baada yakumcheki jamaa mara ya pili hajanijibu hadi leo ni zaidi ya mwezi sasa.
Ni 5G tu ama 3G/4G/5G zote hazisomi?Habari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda wote inaandika EMERGENCY CALL ONLY. Baada yakumcheki jamaa mara ya pili hajanijibu hadi leo ni zaidi ya mwezi sasa.
Hivi mkuu hapo akipiga ROM mpya si tatizo linatoka au vp.Ni 5G tu ama 3G/4G/5G zote hazisomi?
To be safe eka 3G only maana tunashea band moja ya 3G karibia Dunia nzima.
Pia angalia Imei ipo? Na ukisearch Tcra inasoma simu yako?
Kama vya juu vipo sawa probably ni network lock, inabidi utafute mtaalam wa kutoa lock preferably jamaa wa box wale,
Kama ni network lock haitoki, unless iliwekwa kizembe zembe,Hivi mkuu hapo akipiga ROM mpya si tatizo linatoka au vp.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yote hayo ya nn wakati kuna tecno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu inaitwa AQUOS.[emoji38][emoji38].
Nyingine inaitwa Docomo.
Bora tecno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo ndio Mateso ya kununua simu used yalivyo.. mnafikiri mtumiaji wa mwanzo ni mpumbavu aiteme simu yake nzima iliyo kwenye hali nzuri ili uletewe wewe mu Africa uitumie kwa bei nafuu
kama huna hela ya kununua simu mpya brand kubwa Ni bora ujinunulie zako tecno ama infinix.
Mdogo wangu anafanya kazi polisi msimbazi.. kila siku wanapokea malalamiko ya watu zaidi ya 50 wanalalamika wametapeliwa kwa kuuziwa simu used mbovu pale pale kariakoo hasa kwenye maduka ya simu used.
Polisi huwa wanacheka na kuwatimua kwamba hiyo ni kesi ya madai haiwahusu.