Msaada Archbishop Mihayo University College of Tabora

Msaada Archbishop Mihayo University College of Tabora

Bigwig

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
23
Reaction score
2
Wakuu naomba kwa anaefaham tar ya kuripoti chuon kwa 1st year anifahamishe nashindwa kuelewa chuo hakijaweka almanac kwenye web yao.natanguliza shukran
 
Ndugu mambo yote mbona yako hadharani...... kama umechaguliwa UDSM na matawi yake yote.... ripoting date ni 11/10/2014....ck ya jmos saa moja na nusu asubuhi........
 
Continuing wanaingia tarehe 27 ila first year itakuwa kabla ya hapo so fanya kwenda tu
 
Tarehe 27 siku ya jumamosi...ila unaweza vuta ukapima upepo wengi wao huwa wanakimbia maana mazingira n magumu sana...



kila la heri
 
almanac ipo kwenye web. 1st year naona wanalipot tangu tarehe 22 na kila siku wanazd miminika hapa chuon.
 
Jamani tumuogope hata mungu, hiki ni chuo kikuu kweli au saccos ya elimu? Kipo tabora sehemu gani mbona mimi nilisoma milambo boys lakini sijawahi kukisikia hiki chuo?
 
ila bdo inatumika mpa tarehe 1 mwez wa kumi ndo mwsho wa mwaka wa masomo wa 13/14. vipi na ww wamekuchagua apa
 
Accomodation ikoje hapo chuoni, kuna hostel za chuo? za mtaani je? gharama zikoje? kuna dogo anatarajia kusoma certificate hapo
 
tution fees-590,000/=
examination fees-100,000/=
amuctaso-10,000/=
id-10,000/=
TCU quality assurance-20,000/=
total costs-730,000/=
 
nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi
 
hostel zipo za aina mbili zote zinamilikiwa na masister ndani ya Chuo 300,000/= na nje ya Chuo 400,000/=
 
Back
Top Bottom