baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 59
Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm. letter ya Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM) nimeshindwa, naomba ambaye amefaulu tugawane.