Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm. letter ya Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM) nimeshindwa, naomba ambaye amefaulu tugawane.
KUNA LIST YA PROGRAMS HUONYESHWA BAADA YA KUCLICK ADMISSION LETTER. SELECT YOUR PROGRAME THEN DOWNLOAD UTAPATA MAELEZO. M MWENYEWE NME2MIA NJIA HII NA NIMEPATA MAELEZO unique
KUNA LIST YA PROGRAMS HUONYESHWA BAADA YA KUCLICK ADMISSION LETTER. SELECT YOUR PROGRAME THEN DOWNLOAD UTAPATA MAELEZO. M MWENYEWE NME2MIA NJIA HII NA NIMEPATA MAELEZO unique
Mkuu nimefanya kama unasema lakini imegoma, link inafungukia google, lakini napojaribu link nyingine naona ziko poa. Mwenye ujuzi/aliyejaribu na kufanikiwa please let us share this doc.