Msaada ardhi university

Ahm bokee leh

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Kwa wanaaru na yeyote mwenye uelewa kuhusiana na swala la medical capitation fee inakuwaje kwa wale tunaotumia bima za taifa tunapaswa kuilipia hiyo fee au 2tatumia bima zetu za nhif moja kwa moja? Naomba msaada wako
 
Kwa wanaaru na yeyote mwenye uelewa kuhusiana na swala la medical capitation fee inakuwaje kwa wale tunaotumia bima za taifa tunapaswa kuilipia hiyo fee au 2tatumia bima zetu za nhif moja kwa moja? Naomba msaada wako

Ukiripoti chuo utakuta utaratibu wa bima na maofisa wa NHIF wakisajili kadi yako uliyonayo, na fomu hiyo utaipeleke kwa bursor. Kwa asie kuwa na kadi ya bima atalipia 40,000/= na kuandaliwa bima yake itakayodumu kwa muda wa miaka ya degree yake ikiwa ni 4 au 5 years
 
hiyo pesa usilipe.. Unachotakiwa kufanya utaenda kwenye ofisi zao za BIMA na copy ya kitambulisho chako na kitambulisho chenyewe original then watakucomfirm na kukugogea muhuri baada ya hapo hiyo copy utaiambatanisha na registration, bank paid slip uliyolipia vitu vingine then utaisubmit kwa bursor..
 
Bima ninayo2mia inajina la ubin ambalo hupatkana kwenye chet changu cha kuzaliwa ingawa cltumii kama official name ktk career yangu. Ila bima n ya kwangu niliyo andaliwa na mtu aliyekuwa mbali namimi. Je hili haliwezi kuwa tatizo ktk kucomfirm data?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…