Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 178
apitie kwa umakini kitabu cha TCU cha Admissions 2013/2014 atafukua kozi inayoendana na ufaulu wake
Aende education tu apate na mkopo asilimia 100% au apitie kitabu cha tcu ataona kozi inayomfaa kwa matokeo yake!
Chem-E
Bios-S
Geo-D
Bam-F
Gs-S
O level alipata Div two ila hakusoma Physics.