Msaada: Athari za kushuka thamani kwa TZ shilingi

Msaada: Athari za kushuka thamani kwa TZ shilingi

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
224
Reaction score
48
wakuu nisaidieni tafadhari, nina kiasi cha shilingi milioni 6 benk. Bado sijajua/sijaamua nifanye biashara ili kuizungusha, sasa mwendo wa kuporomoka kwa shiling yetu kunaniogopesha mpaka natamani nifungue akaunt ya dola na nihamishe fedha zote to USD au EURO.
Nishaurini wakuu, je nifanye hivyo?
 
peleka jukwaa la uchumi coz watu wenye concept za busness n eco wengi wanalitembelea.
 
Unaweza kusubiri kwanza maana utakula loss leo ni sh 1704, nami limeni face tatizo kama hilo nilichanganyikiwa kabisa
 
kulingana na hali ya uchumi wa nchi yetu uanchotakiwa kufanya kama mjasiriamali ni kufanya biashara/shughuli ambayo ni "RECESSION PROOF" namaanisha biashara ambayo haito athiriwa na thamani ya sarafu yetu TSh. fanya biashara pekee itakayoweza kukuingizia kipato kwa viwango vya dollar.....hivyo basi hutojali kuhusu uchumi wa nchi yako.....Ni biashara ipi ya kufanya?? tembelea Rolf Kipp - Prosperity Central Opportunity

Thanx & Goodluck !!!
 
duh. Leo nasikia ishafika 1750, kununua mpaka 1800
 
Hivi kuna juhudi zozote zinazofanywa na Serikali katika kuiokoa shilingi yetu?
 
Unaweza kusubiri kwanza maana utakula loss leo ni sh 1704, nami limeni face tatizo kama hilo nilichanganyikiwa kabisa

Na amini plan ya MKULO na washahuri wake ni ifike 2000, kwahiyo hajachelewa.
kafungue leo, ila ukitaka kufaidi zaidi KANUNUE DHAHABU.
 
Back
Top Bottom