wakuu nisaidieni tafadhari, nina kiasi cha shilingi milioni 6 benk. Bado sijajua/sijaamua nifanye biashara ili kuizungusha, sasa mwendo wa kuporomoka kwa shiling yetu kunaniogopesha mpaka natamani nifungue akaunt ya dola na nihamishe fedha zote to USD au EURO.
Nishaurini wakuu, je nifanye hivyo?