konrad
Member
- Jun 10, 2015
- 84
- 12
Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip?
Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa the user mwenye hizo details ameshakuwa registered, sasa akashindwa kuamini, maana haujawahi kuomba au kumuambia mtu yeyote amuombee AVN number.
Akauliza marafiki zake na wale ambao wako karibu naye wamesema hawajawahi kumuombea AVN number, ikabidi aende NACTE Makao Mkuu Pale Mwenge .Alipofika kule ametaja details zake,wale wakaingiza kwenye system inasoma tayari yuko registered.
Baada ya hapo, wamempatia number ya Simu ambaye Huyu Mtu alitumia kufanya registration, sasa wamemuambia kwamba hawezi kubadilisha chochote maana hata wakibadilisha code zitatumwa kwenye ile number iliyofanya registration na hiyo number haipo hewani. Number imesajiliwa kwa jina la TUNGU NYERERE MAPIRA
No. 0748973258
Usajili wake inasoma jina ambalo ni ngeni kwake na haujawahi sikia Mtu mwenye jina kama hilo. Na ameambiwa na Nacte kwamba amtafute Mtu mwenye Hiyo number ,bila Hivyo hawezi kupata AVN number wala lesseni. Alisomea course ya Diploma in Clinical Medicine.
Naomba kujua tunaweza kumsaidia Vipi?