Msaada Award Verification Number (AVN) inatofautiana na matokeo yaliyo kwenye Transcript

Mkunzi

Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
7
Reaction score
3
Habari wadau changamoto niliyonayo ni Matokeo ya Award Verfication Number (AVN) hayaendani na matokeo yaliyo kwenye Transcript kwenye transcript nina GPA ya 3.8 lakini kwenye AVN matokeo yangu yanaonesha nina GPA ya 2.7 na
Sina sup yeyote

Naomba kusaidiwa ili niweze kufanya application
 
Most ipo ivyo... yaani matokeo ya kwenye AVN na Yale ya kwenye cheti huwa tofauti.
Na ikitokea ukaapply hivyo hivyo si unaweza ukapoteza sifa !! Mfano kama hivyo GPA ilivyoshuka ? Au naweza kuapply hivyo hivyo tu !
 
Utofauti ni mkubwa sana. Hebu jaribu kupata mawasiliano ya chuo ulichohitumu.
 
Hapo huwez pata chuo mana GPA wanayotaka n kuanzia 3.0 ww kwenye AVN huna na kwenye application huwa wanaangalia kwenye AVN yaan kifupi huwez pata chuo hapo cha kushaur nenda moja kwa moja NACTE na trancript yako ukienda chuo watakuwa hawana majibu watakwambia ss tumepeleka ivo ivo
 
Nimewasiliana nao wakasema shida

Asante mkuu , niliwasiliana na uongozi wa chuo mwanzo wakawa wanakataa ila baada ya muda wakakubali kwamba shida iko hapo hapo chuoni maana waliangalia matokeo ya watu tofauti tofauti wakakuta ni tofauti kweli ! Wao wanasema "mfumo umecheza" hivyo watawaandikia barua nacte kwa ajili ya kuaupload matokeo upya.

Sasa hofu yangu sio kwamba wanaweza kuwa wanalipoza tu na siku za application za chuo zinaisha nije kuambiwa "NACTE hawajatuma majibu endelea kusubiri" nikajikuta nimeharibu mwaka tena ?

Au linawezekana kutatuliwa kwa muda mfupi na nikaendelea na application ?
 
Hilo suala nenda ofisi za nacte... Wakisaidie hapa mtandaoni hakuna msaada huo

Hao chuo watakusumbua tu me ndo nakwambia ukitaka kwenda na mda nenda NACTE wanaweza tatua ilo tatizo ila hao chuo sidhan ingawa wanaweza kulitatua ila sio kwa haraka unavotaka ww
 
Back
Top Bottom