NAUNGA MKONO HOJAWasiliana na Chuo ulicho soma.
Na ikitokea ukaapply hivyo hivyo si unaweza ukapoteza sifa !! Mfano kama hivyo GPA ilivyoshuka ? Au naweza kuapply hivyo hivyo tu !Most ipo ivyo... yaani matokeo ya kwenye AVN na Yale ya kwenye cheti huwa tofauti.
Utofauti ni mkubwa sana. Hebu jaribu kupata mawasiliano ya chuo ulichohitumu.Na ikitokea ukaapply hivyo hivyo si unaweza ukapoteza sifa !! Mfano kama hivyo GPA ilivyoshuka ? Au naweza kuapply hivyo hivyo tu !
Hapo huwez pata chuo mana GPA wanayotaka n kuanzia 3.0 ww kwenye AVN huna na kwenye application huwa wanaangalia kwenye AVN yaan kifupi huwez pata chuo hapo cha kushaur nenda moja kwa moja NACTE na trancript yako ukienda chuo watakuwa hawana majibu watakwambia ss tumepeleka ivo ivoNa ikitokea ukaapply hivyo hivyo si unaweza ukapoteza sifa !! Mfano kama hivyo GPA ilivyoshuka ? Au naweza kuapply hivyo hivyo tu !
Nimewasiliana nao wakasema shidaUtofauti ni mkubwa sana. Hebu jaribu kupata mawasiliano ya chuo ulichohitumu.
Asante mkuu , niliwasiliana na uongozi wa chuo mwanzo wakawa wanakataa ila baada ya muda wakakubali kwamba shida iko hapo hapo chuoni maana waliangalia matokeo ya watu tofauti tofauti wakakuta ni tofauti kweli ! Wao wanasema "mfumo umecheza" hivyo watawaandikia barua nacte kwa ajili ya kuaupload matokeo upya.Hapo huwez pata chuo mana GPA wanayotaka n kuanzia 3.0 ww kwenye AVN huna na kwenye application huwa wanaangalia kwenye AVN yaan kifupi huwez pata chuo hapo cha kushaur nenda moja kwa moja NACTE na trancript yako ukienda chuo watakuwa hawana majibu watakwambia ss tumepeleka ivo ivo
Nimewasiliana nao wakasema shida
Asante mkuu , niliwasiliana na uongozi wa chuo mwanzo wakawa wanakataa ila baada ya muda wakakubali kwamba shida iko hapo hapo chuoni maana waliangalia matokeo ya watu tofauti tofauti wakakuta ni tofauti kweli ! Wao wanasema "mfumo umecheza" hivyo watawaandikia barua nacte kwa ajili ya kuaupload matokeo upya.
Sasa hofu yangu sio kwamba wanaweza kuwa wanalipoza tu na siku za application za chuo zinaisha nije kuambiwa "NACTE hawajatuma majibu endelea kusubiri" nikajikuta nimeharibu mwaka tena ?
Au linawezekana kutatuliwa kwa muda mfupi na nikaendelea na application ?
Hao chuo watakusumbua tu me ndo nakwambia ukitaka kwenda na mda nenda NACTE wanaweza tatua ilo tatizo ila hao chuo sidhan ingawa wanaweza kulitatua ila sio kwa haraka unavotaka wwNimewasiliana nao wakasema shida