john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Habarini wakuu,naomba kujuzwa kuhusu hali ya shule ya azania (high school) comb.pcm,resources availability,walimu...kuna mtu aliniambia pale hakuna mwalimu wa kemia,je ni kweli....msaada tafadhali kwa waliopita pale