Msaada: Baada ya kumpa mimba nataka nijitokeze kwao kujitambulisha kuwa mimi ndio mhusika

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika.

Kwa wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika pili nitakapokwenda kwao
 
Utakua umefanya vema! Nina imani wajua kabisa kuwa ujauzito niwako! So usiende mikono mitupu. Jipange vizuri uende nahela yakutosha huwezi jua mila zao!
 
Kabla ya kwenda kujitambulisha kaa chini jitafakari sana sana kama mimba yako kweli maana nina ushuhuda wa mtu aliyewahi kupigwa faini ya 300,000 kwa kumpa binti ujauzito kabla ya ndoa na mahali ya milioni 2 alafu akajaga kugundua mimba alisingiziwaa
 
Tafuta mtu anayejua mila zao akupe utaratibu wa nini cha kufanya.

Au ongea na mzee wa upande wako atakushauri zaidi.
 
Vaa raba nyepesi anza kufanya mazoezi ya kupasha(yaani kukimbia kwa spidi) hakikisha umemuacha bodaboda kwenye kona ili likitokea la kutokea iwe rahisi kukimbia nenda na sim ya batan(kiswaswadu)
 
Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika. Kwa Wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika pili nitakapokwenda kwao
Binti ni kabila gani?
 
Kabla ya kwenda kujitambulisha kaa chini jitafakari sana sana kama mimba yako kweli maana nina ushuhuda wa mtu aliyewahi kupigwa faini ya 300,000 kwa kumpa binti ujauzito kabla ya ndoa na mahali ya milioni 2 alafu akajaga kugundua mimba alisingiziwaa
Mtoto ni mtoto tu..

Ni kulea tu
 
Unatafuta ujiko kwenye mimba ya njemba mwingine
 
Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika. Kwa Wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika pili nitakapokwenda kwao
Hawa watu siku hizi wamekuwa kama jeshi wanapiga kote kote wakikukosa angani, nchi kavu wanapiga majini ya kwa kifupi ni vita lazima ujipange sana psychological.
 
Kabla ya kwenda kujitambulisha kaa chini jitafakari sana sana kama mimba yako kweli maana nina ushuhuda wa mtu aliyewahi kupigwa faini ya 300,000 kwa kumpa binti ujauzito kabla ya ndoa na mahali ya milioni 2 alafu akajaga kugundua mimba alisingiziwaa
Kha😹
 
Mkuu ilikuwaje mwishoni kaka.
 
Back
Top Bottom