mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Siku chache zilizopita niliomba msaada baada ya injini ya gari langu kusumbua,nimeamua kununua injini nyingine,msaada kutoka kwenu wadau ni kwamba,ni mambo gani niyazingatie wakati wa kuifunga injini hii mpya ili isinisumbue ukizingatia histolia ya gari kuwa ilikuwa imekaa muda mrefu bila kutummika?Natanguliza shukrani.