mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
milioni 1.5 mkuuUmenunua bei gani mkuu
Cha kuzingatia ni Service ya Oil kila baada ya 3000km au 6000km kulingana na durability ya oil unayoweka, ni hayo tu.milioni 1.5 mkuu
Corolla 110 umenunua bei gani?;!milioni 1.5 mkuu
1.5 inanunuaje gari mkuuCorolla 110 umenunua bei gani?;!
Hiyo hela ungeweza pata gari kama Terrios Kid and the same
Umepigwa vibayamilioni 1.5 mkuu
KachakazwaUmepigwa vibaya
Corolla 110 umenunua bei gani?;!
Hiyo hela ungeweza pata gari kama Terrios Kid and the same
Me nadhani siyo ishu sana....bora awe amepata injini nzuri ambayo haitamtesaUmepigwa vibaya
mbona bei kubwa au umechukua full na gia boxSiku chache zilizopita niliomba msaada baada ya injini ya gari langu kusumbua,nimeamua kununua injini nyingine,msaada kutoka kwenu wadau ni kwamba,ni mambo gani niyazingatie wakati wa kuifunga injini hii mpya ili isinisumbue ukizingatia histolia ya gari kuwa ilikuwa imekaa muda mrefu bila kutummika?Natanguliza shukrani.
injini bado mpya mkuumbona bei kubwa au umechukua full na gia box
inji tu bado ina hali nzuri.nimbona bei kubwa au umechukua full na gia box
Siku chache zilizopita niliomba msaada baada ya injini ya gari langu kusumbua,nimeamua kununua injini nyingine,msaada kutoka kwenu wadau ni kwamba,ni mambo gani niyazingatie wakati wa kuifunga injini hii mpya ili isinisumbue ukizingatia histolia ya gari kuwa ilikuwa imekaa muda mrefu bila kutummika?Natanguliza shukrani.
Gari ya m1.5 sijawhi onaCorolla 110 umenunua bei gani?;!
Hiyo hela ungeweza pata gari kama Terrios Kid and the same
BaloonGari ya m1.5 sijawhi ona
Labda Boxer usedGari ya m1.5 sijawhi ona