Waungwana naombeni msaada mdogowangu kachaguliwa kozi hii vipi ndugu zangu katika maisha ya kibongo anaweza ikamfaa,sina maarifa kuhusu kozi za eng. please.

Mbona unamsingizia mdogo ako?? Okey..Hiyo haina tofauti na telecommunication eng. Na kama sikosei inatolewa st. Joseph campus ya dar!! Akasome ni kozi nzuri na ajiandae kusoma!!!