Msaada bachelor of environmental health with it(behsit)

Msaada bachelor of environmental health with it(behsit)

mdau kbt

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
401
Reaction score
166
naomba msaada juu ya mchanganua wa hiki kitivo cha behsit ukisoma UNAKUA NANI NA VIPI KUHUSU mfumo wake za ajira ukoje na unakua nani?
 
Ukisoma unakuwa hygienist kwa.maana ya kuangalia uhusiano wa mazingira na afya ya mtu, or else unaweza kudeal na issues za mazingira. Kazi ni nyingi mno na soko la ajira na kujiajiri lipo wazi kabisa. Kila la kheri, ni uamuzi mzuri. Usipokuwa mvivu wa kufikiri, unikumbuke katika ufalme wako tafadhali.
 
Weee........!!!
:A S 11::A S 11:
 
Mwanangu mdaukbt kwanza hueleweki. Pili usitegemee watu wakutafunie wewe umeze tu. This way utameza hata inzi. Acha uvivu. Tafiti hiyo shahada na uone kama inakufaa. Kila mtu ana mambo yake ya kutafiti na hakuna mwingine anaweza kukufanyia hiyo kazi. Hata wazazi wako hawawezi otherwise kama wanajua wewe ni taahira. Ni ushauri tu mwanangu.
 
king'ast mpendwa nashukuru sana!hahaha
Father of All ushaur muhimu huwezi jua kila kitu ndugu
 
Last edited by a moderator:
Asante king'ast! Ucjar utakaribiShwa kwenye ufalme

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom